jengeni hoja maamuzi ya lowassa acheni unafiki huyu ndie baba wa maamuzi tanzania.

jengeni hoja maamuzi ya lowassa acheni unafiki huyu ndie baba wa maamuzi tanzania.

Sekalutu

Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Kauli ambazo sintazisahau lowasa alisema akimnukuu mwalimu . Mwalimu alisema nchi hii ina amani watanzania wanajua na dunia inajua. PINDI AKIWA ANAJIUZULU akasema kamati teule ya mwakyembe imesafiri mpaka marekani lakini mtu ambaye wanamtuhumu na kumsema kwa kirefu mle hawajawahi kumhoji hata sikumoja. mheshimiwa mwakyembe ww ni mwanasheria unalifahamu swala la natural justice na ww mh; speaker na mwanasheria pia hata ulipo nilamba kisogo ukaniuliza una ushahidi kuhusu hili nilikupatia tena kwa maandishi lakuin ktk ripot ya mwakyembe hakuna ushahidi hata moja kutoka ofsi ya wazri mkuu. leo kuja hapa na kujenga hoja nikumchafua wazir mkuu na kumuondolea heshima au tumuwajibishe. lowasa akasema im the wish what im going to grant taitzo ni wazir mkuu .akasema nimetafakar xana nimeamua kumuandikia rais barua ya kuachia ngazi nafanya hivyo kwa moyo mweupe kabisa lakini na kutokukubaliana na jinsi kazi hiyo ilivyo fanyika ila kuonyesha dhana ya uwajibikaji tuendelee kuitekeleza ilani ya CCM. Huyu ndo kiongozi wa nchi. jengeni hoja acheni unafiki.
 
NATURAL JUSTICE INA VIPENGELE VITATU TU. CHA KWANZA RIGHT TO BE HEARD, RIGHT TO KNOW REASON TO MAKE DECISION AND RIGTH TO APPEAL. kwa maana hiyo basi mwakyembe alimnyima lowassa haki ya kusikilizwa, haki ya kujua sababu ili afanye maamuz na haki ya ya rufaa.Je mwakyembe alifanya kazi hiyo kisheria kama taaluma yake inavyomtaka au ni siasa tu.MY DREAM IM THE WISH LOWASSA IS THE NEXT COMING PRESIDENT. jengeni hoja.
 
Mtu wenu Lowassa kachafuka hata mmsafishe vipi ni vigumu mwambieni akubali yaishe na nyie vijana wake tafuteni ajira za kudumu msitegemee kuishi kwa maneno ya kupendezesha watu
 
Labda akakeshe mwaka mzima kwa TB Joshua...
 
Kama yy lowasa alipopewa nafasi bungeni ayaseme uliyoandikwa angesema mhusika ni....... Nafikiri angesalimika ila aliamua kupiga kmya na kufumbia ukweli macho.
Kumbuka mshikwa na ngozi ndie mla nyama.
Mfano ni hivi kama uliuziwa ngozi na umekamatwa nayo ukashindwa kumtaja aliyekuuzia utaubeba msalaba wa .Mwizi.
Yeye mpaka sasa ndiye mhusika wa Richmond mpaka atakapomleta mwizi.
 
tujenge hoja wakuu, kilichomuondoa Lowasa madarakani ni nini hasa? kwanini hakuulizwa? kwa nini alihukumiwa bila kujitetea? natamani sana ningeyajua hayo
 
tujenge hoja wakuu, kilichomuondoa Lowasa madarakani ni nini hasa? kwanini hakuulizwa? kwa nini alihukumiwa bila kujitetea? natamani sana ningeyajua hayo

Haya mambo ya Lowasa ungeyapeleka kule kwa jukwaa la siasa ungekutana na wanasiasa wenzako na ndipo mngejengeana hoja kama zipo. Huku tunajadili mambo ya kale.
 
tujenge hoja wakuu, kilichomuondoa Lowasa madarakani ni nini hasa? kwanini hakuulizwa? kwa nini alihukumiwa bila kujitetea? natamani sana ningeyajua hayo

Kinachonishangaza mitambo hiyo hiyo ya Richmond alikuja Obama na Hillary Clinton kuibariki na kuisifia na inadunda kama kazi. Toka hapo ndio sioni tena sababu au mantiki yoyote ya kusema Lowassa ni fisadi.
 
unaweza kufikiri km Lowassa aliwekewa zengwe tu na hakufisidi ktk hiyo issue labda ktk deals nyingine lakini sio hiyo ya richmond, hatumtetei ila tunahitaji ushahidi anuai usio na chembe shaka kuweza kumtia huyu bwana hatiani, otherwise kilichotokea 2008 ni kuchafuana tu kisiasa kutokana na kutoelewana wao kwa wao ktk mtandao wao.
 
Haya mambo ya Lowasa ungeyapeleka kule kwa jukwaa la siasa ungekutana na wanasiasa wenzako na ndipo mngejengeana hoja kama zipo. Huku tunajadili mambo ya kale.

umetumia grounds zipi mkuu kuniterm mimi kama mwanasiasa? kuhoji kwangu ndiko kulikopelekea hayo? can you be a little more serious mkuu?
 
Baeleze hawa wapiga debe wa fisadi Lowassa. Sifa yao kuu ya huyu fisadi ni , "Lowassa ni jembe" ukiwaambia watoe ufafanuzi wa kipi alichokifanya kwa maslahi ya nchi katika miaka zaidi ya 25 aliyokuwemo ndani ya Serikali wanaanza kung'aa macho.

Mtu wenu Lowassa kachafuka hata mmsafishe vipi ni vigumu mwambieni akubali yaishe na nyie vijana wake tafuteni ajira za kudumu msitegemee kuishi kwa maneno ya kupendezesha watu
 
Back
Top Bottom