Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
INASEMEKANA MAGHOROFA MENGI KARIAKOO YANATUMIKA KINYUME NA PLAN YAKE YA UJENZI..
GHOROFA linakuwa limejengwa kwa plan ya makazi hizo floor za juu lakini Kariakoo zinageuzwa kuwa magodauni ya kuhifadhia mizigo mizito mizito huko GHOROFAni..
GHOROFA la makazi estimated nondo zake ni kubeba watu kadhaa kwa hiyo floor ana fenicha ila Kariakoo sio hivyo unakuta floor moja imebeba mizigo iliyoshushwa kwenye semi trailer ya tani 40 na watu nao huwa huko juu wanunuao mizigo kwa bei ya jumla sasa hapo floor tatu za GHOROFA hilo zikibeba uzito huo what do you expect???
Inatakiwa Ukaguzi yakinifu ufanyike Kariakoo ama sivyo majanga haya yatakuwa ya kawaida kila siku