Lipo mtaa gani hili?Nadhani ni lile la SIMBA KAPAKATWA TOWER kwa sasa ndiyo refu.
View attachment 62541Lile pale nyuma ya milenium towers sayansi.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Jengo jipya Bibi Titi Road kati ya BP Upanga na UNICEF, nimesahau jina.
Duuh ccm lumumba vs jengo la ushirika! Mkuu ule mkono ulioshika mwenge lbd ndy inaongeza urefu.
This is it! Wakubwa waliangalie vizuri mtaona hata lile la uhuru heights haliingii hapa.
Isijekuwa kama simba kapakatwa tower, maana jengo kama hilo sijawahi sikia.