nilikuwa sijui kama hili jengo linaweza kuwa LA NNE kwa urefu africa. post yako imenifanya nitafute facts...ni la nne la kwanza ni calton center,ponte city apartment,nitel building then ndio hili Jubilee Tower....lakini nahisi yale twin tower pale karibu na makao makuu ya TRA yatakuwa marefu zaidi.
Bongo Siku Hizi huhitaji chopa kupata taswira Kama Hizi , zimepigwa toka jengo la uhuru heights pale bibi titi Mohamed roadMkuu ulitumia chopa kupata picha hizi nini?
sasa hapo umemsaidia nini? Mi nadhani litakuwa lile linalomaliziwa kujengwa la uvccm pale karibu na fire
Jengo la kina Nape na Lowasa la UVCCM ndio refu.
Jengo refu lipo pale sayansi victoria jaman lile ndo mwisho wa maelezo
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
ni jengo ambalo liko sokoine drive , lipo opp na tra hq upande wa baharini, ni reeefu na bado linapanda ujenzi haujaisha bado sidhani kwa dar hii liko lingine kuzidi hilo.