Jengo kubwa la kampuni ya Kenya lazinduliwa Rwanda

And how about you Tanzanians??? Why do you think is our view of you?? How do you think other East Africans view you???
Watanzania sisi tunapenda kuwa na maneno mengi lakini mostly sio ya kujikweza wala kumchosha mskilizaji..na tunaelewa vizuri the art of conversation kwamba maongezi ni kama kuimba..unajua kuimba ni kupokezana..so we talk mostly chit chart and scandal ambazo mostly ni nonsense but with no offence kumuumiza mwingine but to keep the day Rollin and grooving thats why hata Raila Odinga anatufeel. We don't have the mentality neither superioty complex nor special compared with Ugandan and Kenyans who thinks they rule east Africa. Burundians and Tanzanians whether one is rich or poor wote tuko very comfortable to hang arround with. Lakini mjaluo au mnyankole akizibamba tayari na yeye ghafla anatoka kwenye family ya pale Buckingham palace kwa malkia. Pathetic!

I have been to many parts of east Africa wengi wanawona waswahili wa Tz kama wavivu, wazembe na wenye maneno mengi ila very easy to get along with. Ila pia wengi hawawajui kwa undani maana hawana contact nao sana especially Rwanda na Uganda ambako watanzania wengi hawaendi.

Ila so far.. Wakenya na Waganda you have so many in common though waganda wanachangamoto nyingi sana to get along with kulingana na Wakenya kwani mnavumilika..Nyumbani kwetu ni Mwanza and we have Kenyans tenants kutoka migori and somepart za Nyeri tumeishia nao kwa zaidi ya miaka 6 hawana shida na tumewazoea na tunawachukulia kama sehemu ya familia.

What matters is a mutual respect and torelance on our differences and embrace our similarities as Africans.
 

Eish! That is a good conversation from a reasonable Tanzanian.Tulale sasa... Wah... tutashikilia huo uzi kesho.
 

Hapo bado. You are still one sided in your opinion. You are Not objective.
 
Mbona haijatumaliza bado??? Hiyo nchi enye mnasema iko na ukabila njaa na funza bado iko mbele yenu kwa umbali. The country in front of you is always Kenya.Naaa,, nikuulize,,, ukabira ni nini?? Ama unajaribu kutwang??
Njoo UDSM ujifunza Kiswahili kwanza kisha ndyo uje hapa [emoji39] [emoji39]


~Cmb
 
This coca cola headquarters?
Shake-up in Coca-Cola leaves trail of anxiety
Au kuna nyingine?
 
Njoo UDSM ujifunza Kiswahili kwanza kisha ndyo uje hapa [emoji39] [emoji39]


~Cmb

Nifanyie nini Kiswahili. I don't need Kiswahili to be alive. Look at this other thunderhead.
 
And how about you Tanzanians??? Why do you think is our view of you?? How do you think other East Africans view you???
Who gives a shit what you think of us man..get a life
 
 
Njoo UDSM ujifunza Kiswahili kwanza kisha ndyo uje hapa [emoji39] [emoji39]


~Cmb

Kiswahili ni cha PATE na LAMU na Pwani ya Kenya, aje hapo Tanganyika akajifunze kile kingine cha kichotara cha ujanjaujanja ili iweje na kwa faida ya nani?
 
Kiwahili ni cha PATE na LAMU na Pwani ya Kenya, aje hapo Tanganyika akajifunze kile kingine cha kichotara cha ujanjaujanja ili iweje na kwa faida ya nani?
*Kiwahili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…