Amigo Senior Member Joined Mar 7, 2009 Posts 150 Reaction score 3 Nov 1, 2010 #1 Jengo la CCM Nera lapigwa moto hizi ni habari zilizo nifikia sasa watu wamesha amua sasa fujo mtindo mmoja hili nalo CCM wamelitaka wenyewe kwa kweli hali ni mbaya sana.
Jengo la CCM Nera lapigwa moto hizi ni habari zilizo nifikia sasa watu wamesha amua sasa fujo mtindo mmoja hili nalo CCM wamelitaka wenyewe kwa kweli hali ni mbaya sana.
Emma Lukosi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2009 Posts 929 Reaction score 147 Nov 1, 2010 #2 Masikini Nchi Yanguuu!!!!!!!:doh:
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Nov 1, 2010 #3 JK ndiye tutamlaumu kwa kutundia upya TUME HURU ya Uchaguzi inayoweza kuaminika na watanzania.................
JK ndiye tutamlaumu kwa kutundia upya TUME HURU ya Uchaguzi inayoweza kuaminika na watanzania.................
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Nov 1, 2010 #4 Jamani wasiingie kwenye uvunjifu wa amani!
C Chumvi1 Senior Member Joined Oct 10, 2010 Posts 137 Reaction score 8 Nov 1, 2010 #5 Sawa kabisa si suala la uvunjifu wa amani hapa