Jengo la ghorofa 8 laporomoka Malindi, mmoja afariki dunia

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
JENGO LA GHOROFA 8 LAPOROMOKA NCHINI KENYA, MTU MMOJA AFARIKI DUNIA

Watu wengine 14 wamejeruhiwa huku 7 wakiokolewa baada ya jengo hilo lililokuwa linajengwa kuangua huko Barani, Malindi asubuhi ya leo Oktoba 26

Kwa mujibu wa Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya Watu wengine kadhaa wamekwama ndani ya kifusi cha Jengo hilo huku taratibu za uokoaji zikiendela

Inaelezwa kuwa Jengo hilo lilikuwa kwenye mkakati wa kubomolewa baada ya kubainika kuwa lilijengwa bila kufuata sheria

Mwezi Juni mwaka huu, Watu watatu walifariki dunia baada ya jengo la ghorofa 5 kuanguka jijini Nairobi huku wengi wawili wakifariki jijini humo baada ya jengo lingine la ghorofa 7 kuanguka
======

One person was killed after a Malindi building collapsed in Barani, Malindi on Friday morning.

Reports indicate that so far, seven people have been rescued as rescue operations continue.

According to the Kenya Red Cross, there may be several others trapped inside.

Officials from the humanitarian organisation and Emergency Plus Medical Services (EMS) are at the scene.

In June this year, three people were killed after a five-story building collapsed in Nairobi in the wee hours of the morning

At the time, authorities told Reuters that 30,000 to 40,000 buildings built without approval were at risk.

In June 2017, two people died after a seven-story block fell down in Pipeline Estate, Nairobi.

49 others were killed the previous year when their building collapsed during a heavy, night-time downpour in Huruma estate within the country’s capital city.


 
Majirani nadhani mnashika namba moja kwenye uporomokaji wa majengo kwa East Africa.
Pole kwa majeruhi.



 
Ujenzi mbovu na kandarasi kanjanja ile maboss hasa wahindi wanataka kujenga kwa bei rahisi kwa kuounguza ratio ya vifaa haya ndo matokeo yake
 
Nchi ya poor standard of living, every sector is not working, really a failed state
 
Ujenzi mbovu na kandarasi kanjanja ile maboss hasa wahindi wanataka kujenga kwa bei rahisi kwa kuounguza ratio ya vifaa haya ndo matokeo yake
Malindi kuna wahindi...hhhhh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…