Jengo la ghorofa saba laporomoka Jijini Nairobi

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Jengo la ghorofa 7 lililokuwa linajengwa katika eneo la Kasarani Jijini Nairobi limeanguka huku zaidi ya mafundi 10 wakiwa ndani ya jengo hilo

Wananchi wamefanikiwa kuwaokoa watu wawili waliokimbizwa hospitalini huku jitihada za kuwaokoa wengine zikiendelea #EastAfricaTV

___________

Nyie jamaa acheni wizi wa siment kila mara majengo yanaporomoka na mnajisifia mna viwanda vingi vya cement na architects engineers
 

Attachments

  • Screenshot_20221115-190315_Facebook.jpg
    146.4 KB · Views: 11
Hawa tumewachoka kwa uzembe wait, nchi gani hii jamani?
komora096

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Duu, majirani kwa kweli, this is more than too much. Yaani katika karne hii kweli majengo yanaporomoka yakiwa katika hatua za ujenzi!!?

By the way, jamaa zetu wa hapa jamvini wamepona kweli na mkasa huo!?
Wapi komora096 Kachengcheng Tony254 et al??
 
ni kawaida bro. unajua huku sisi huwa tunajenga nyumba za orofa tupu. sasa hebu nikuulize, hizo nyumba zenu za matope zinapodondoka, nani ataeshuhulika kutangaza?
And take into account, 50% of Nairobi buildings regardless ownership or use are not fit for human habitation.
So in your figures don't miss this.
 

Duu, yaani duniani hamna viumbe wanaopata shida kama wakenya.... yaani ukipona njaa, basi kuangukiwa na jengo kuna kusubiri. Poleni sana ndg zetu kina Lewis254 komora096 pingli-nywee et al kwa maadhira mnayopambana nayo.
 
Hawa walishakubuhu kwenye ujenzi wa substandard,haupiti mwaka bila ghorofa kuanguka.

Ingekuwa Tanzania sipati picha Chadomo wazee wa hoja za matukio..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…