Jengo la gorofa mbili la makazi kitako cha nguzo zake kinasukwa ukubwa gani?

Jengo la gorofa mbili la makazi kitako cha nguzo zake kinasukwa ukubwa gani?

Colman mboro

New Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Wadau msaada
Jengo la gorofa mbili la makazi kitako cha nguzo zake kinasukwa ukubwa gani?
 
Yatakupata ya kariakoo ukidharau utalaam(shule).Kila jengo la ghorofa lina mzigo wake ambao unatokana na material utakayotumia kujengea ,zaidi ikiwa ni zege. Hivyo namna nguzo zinatakiwa kuwa inategemea na kiasi cha mzigo wa jengo.
 
Back
Top Bottom