C Colman mboro New Member Joined Feb 1, 2025 Posts 1 Reaction score 0 Feb 1, 2025 #1 Wadau msaada Jengo la gorofa mbili la makazi kitako cha nguzo zake kinasukwa ukubwa gani?
M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,358 Reaction score 5,783 Feb 1, 2025 #2 Yatakupata ya kariakoo ukidharau utalaam(shule).Kila jengo la ghorofa lina mzigo wake ambao unatokana na material utakayotumia kujengea ,zaidi ikiwa ni zege. Hivyo namna nguzo zinatakiwa kuwa inategemea na kiasi cha mzigo wa jengo.
Yatakupata ya kariakoo ukidharau utalaam(shule).Kila jengo la ghorofa lina mzigo wake ambao unatokana na material utakayotumia kujengea ,zaidi ikiwa ni zege. Hivyo namna nguzo zinatakiwa kuwa inategemea na kiasi cha mzigo wa jengo.