Tetesi: Jengo la Iyunga secondary linaungua moto

Tetesi: Jengo la Iyunga secondary linaungua moto

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,796
Ninesikia hiyo Taarifa, mwenye kujua zaidi atufahamishe.
 
Duh...!! Tatizo watoto wa technical utundu mwingi....!Nasikia hadi bweni la Mkapa washalikaanga.
 
Duh...!! Tatizo watoto wa technical utundu mwingi....!Nasikia hadi bweni la Mkapa washalikaanga.
Hii ya leo ikoje mkuu kama una Taarifa?
 
Napenda na ule uwanja wa kikapu uungue ujengwe mpya..
 
Nimepata Taarifa ni kweli mabweni matatu yameungua, chanzo cha moto ni umeme.
 
Back
Top Bottom