Kuna ujenzi wa jengo la Serikali linanohusiana na kuhifadhi chakula kwa njia ya mionzi ulikuwa unaendelea pembezoni mwa barabara inayoelekea Mpigi Magoe kutokea Mbezi.
Hili jengo lilikuwa linajengwa na Wachina na walifikia hatua ya kufitisha madirisha. Lakini naona si chini ya miezi minne kila kitu kimeondolewa site.
Naomba wahusika watuambie, ndo wamemaliza, wametelekeza au wanajipanga upya??