Jengo lilijengwa kukidhi matumizi ya kiofisi na sio makazi...
Lile jengo, wakati linabomolewa, lazima limepata athari... Designed structure, ukiibomoa wakati imeshajengwa, lazima ipate athariSiwezi kujua lengo la shirika la umeme Tanesco kuhusu jengo lao lililoko Ubungo jirani na daraja la Kijazi. Lakini kwa muonekano kwa nje Ni Kama halitumiki.
Kwa kuwa serikali ya AWAMU ya sita iko katika safisha safisha ya baadhi ya madudu yaliyoonekana yanazingua nchi na wananchi wake
Basi nashauri jengo Hilo lifanyiwe ukarabati na kupewa chuo kikuu udsm na kuwa hostel ili kupunguza uhaba wa makazi kwa wanachuo mbalimbali