Hawa watu wanatuletea picha za viwanja vya arabuni huko wanadai ni uwanja wa JNIA..Hiyo picha imewahi kuwekwa humu ikasemekana ni terminal ya nchi nyingine
Ulikuwa hujazaliwa wakati Kikwete anaandaa mipango na analijenga!.Matunda ya uongozi wa awamu ya tano chini ya JPM
Tumieni akili na wala sio mas@buri,ujenzi huu ulianza kufanywa na JK,Mzee wa air hostages kaukuta!!Matunda ya uongozi wa awamu ya tano chini ya JPM
JPM, CCM mpaka raha!
CDM igeni kufanya yaliyomema - ruzuku zionekane kwa matendo!
CDM watakuwa wanapandia jengo la zamani kwa kususa
Akikujibu unitag
Misuli haka kamusemo kana apply kila topic?Akikujibu unitag
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Hako kamsemo ni signature yangu mkuu.Misuli haka kamusemo kana apply kila topic?
Kumbe ni signature? Nimekuelewa mku.Hako kamsemo ni signature yangu mkuu.
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Jengo ni ndege , bila ndege ni uselessNi vizuri sana kwa uchumi wetu. Ila hiyo picha ni ya uwanja huo kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utawafanya watu wawe wanaenda pale kushangaa na kutumia net ya bure tuAh sana hapo ni mwendo wa selfie tu kwa fujo,ila waweke na Free WiFi zinazofanya kazi na sio kama za kule uwanja wa zamani zipo kama mapambo