Wakuu,
Taarifa ya Reuters inasema jengo moja la ghorofa 4 limeanguka huko YEMEN.Wafanyakazi wa uokoaji wanajaribu kutafuta waliofunikwa na kifusi ambapo inakisiwa hadi sasa watu wawili wamefariki,watano kujeruhiwa na wengine wanne hawajulikani walipo.Jengo hilo limeanguka wakati mafundi wakimwaga zege.Naam hii nayo ni Dar-es-salaam nyingine.
Habari zaidi http://www.reuters.com/news/pictures/topnews/picture?channelId=5003¤tPic=1&picId=5802349
Ngoja tusubirie na wapo approach yao katika hili je,ni hizi za kwetu za TANZATUME au TANZAKAMATI.Hii itajufunua macho kujua position yetu katika kukabiliana na majanga.