Jengo laporomoka huko Kisumu

Jengo laporomoka huko Kisumu

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
32,246
Reaction score
31,176
Jengo lingine lililokuwa linajengwa limeporomoka leo na kujeruhi watu kadhaa huko Mamboleo, Kisumu. Ufisadi na janjajanja vitawamaliza hawa nyang'au, yaani sasa imekuwa kama fasheni.

Building under construction collapses in Kisumu.
Nyanza
By Harold Odhiambo

A two-storey building under construction has collapsed in Mamboleo, Kisumu county, injuring seven. The seven have been taken to the hospital as rescue workers, residents, and the police are at the scene.

Source:
 
Wazee wa maporomoko ya majengo.
Nina wasiwasi na vifaa vya ujenzi vya wakenya. Kwa nini wao tuu kila kukicha??
 
Wazee wa maporomoko ya majengo.
Nina wasiwasi na vifaa vya ujenzi vya wakenya. Kwa nini wao tuu kila kukicha??
Halafu hapa wanajifanya hawaoni, wao kazi yao ni kujisifia tu. Sanasana watakuambia oh mbona hata huko Tanzania sijui nini, upuuzi mtupu.
 
Kenya kuna sehemu mnafeli, shida ni rushwa au mafundi?
 
Back
Top Bottom