Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
Mtani hili mshauri Engineer alichukue litawafaa uto mkienda MwanzaMhhh!
Fursa hii mkuuMhhh!
Vipi gharama za kuendesha hiyo biashara (umeme, maji, wafanyakazi +maboresho). Kuna sehemu nyingine gharama za kupatunza au kupaendesha ni kubwa sana. Hela haijawahi kuwa rahisi.It looks a bargain to me. Hii mtu atayanunua anaweza kuibadilisha ikawa bonge la hoteli na akapiga pesa ya maana sana. Hata hiyo milioni 900 sijui 800 itarudi ndani ya mda mfupi sana
Hapo mbele unaweka swimming pool na makorokoro kibao.
Sijawahi kwenda Mwanza, sijui huko Buswelu ni mjini au pakoje.
Vyumba 19 vya kulala maana yake hapo ukiweka bei ya kimaskini ya 30000 kwa siku kwa occupancy rate ya 60% maana yake hapo una kama
30,000 * 19 * 30 * 12 * 0.6 = Tzs 123 Million kwa mwaka
Ukiweka Swimming pool nalo linakupa pesa
Na Bar nayo na sehemu ya kula bado inakupa pesa
Aisee mwenye nazo achukue hii mali
Buswelu sehemu gani mimi naishi hapa NHC?!KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI
LIPO BUSWELU-MWANZA
LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI
UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM
BEI NI MILLION 900,MAONGEZI YAPO
DOCUMENTS NI TITLE DEED
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Ndo maana nikaweka hiyo discounting factor mkuu ya 60%... ila kwa muonekano na ukubwa wa eneo hiyo kuna namna inaweza kuwa mali kama akili ikitumika vemaVipi gharama za kuendesha hiyo biashara (umeme, maji, wafanyakazi +maboresho). Kuna sehemu nyingine gharama za kupatunza au kupaendesha ni kubwa sana. Hela haijawahi kuwa rahisi.
Lakini pia hizi gharama kwa sehemu kama Mwanza zinaweza kuwa chini sana mkuu. Hapo sana sana ni labor cost maana cost za utilities zinaenda sawa sawa na unavyopata wateja wa kulalaVipi gharama za kuendesha hiyo biashara (umeme, maji, wafanyakazi +maboresho). Kuna sehemu nyingine gharama za kupatunza au kupaendesha ni kubwa sana. Hela haijawahi kuwa rahisi.
- wa sehemu nyingine wamepinda si ndio ee?Uzuri wa madalali wa mwanza huwa wamenyooka
Mahesabu kwenye makaratasi ni rahisi sana.It looks a bargain to me. Hii mtu atayanunua anaweza kuibadilisha ikawa bonge la hoteli na akapiga pesa ya maana sana. Hata hiyo milioni 900 sijui 800 itarudi ndani ya mda mfupi sana
Hapo mbele unaweka swimming pool na makorokoro kibao.
Sijawahi kwenda Mwanza, sijui huko Buswelu ni mjini au pakoje.
Vyumba 19 vya kulala maana yake hapo ukiweka bei ya kimaskini ya 30000 kwa siku kwa occupancy rate ya 60% maana yake hapo una kama
30,000 * 19 * 30 * 12 * 0.6 = Tzs 123 Million kwa mwaka
Ukiweka Swimming pool nalo linakupa pesa
Na Bar nayo na sehemu ya kula bado inakupa pesa
Aisee mwenye nazo achukue hii mali
It looks a bargain to me. Hii mtu atayanunua anaweza kuibadilisha ikawa bonge la hoteli na akapiga pesa ya maana sana. Hata hiyo milioni 900 sijui 800 itarudi ndani ya mda mfupi sana
Hapo mbele unaweka swimming pool na makorokoro kibao.
Sijawahi kwenda Mwanza, sijui huko Buswelu ni mjini au pakoje.
Vyumba 19 vya kulala maana yake hapo ukiweka bei ya kimaskini ya 30000 kwa siku kwa occupancy rate ya 60% maana yake hapo una kama
30,000 * 19 * 30 * 12 * 0.6 = Tzs 123 Million kwa mwaka
Ukiweka Swimming pool nalo linakupa pesa
Na Bar nayo na sehemu ya kula bado inakupa pesa
Aisee mwenye nazo achukue hii mali
Umesema Occupancy rate ya 60% mkuu japo kwenye hesabu uliweka 100%. Kwahiyo Occupancy rate ndio ulimaanisha discounting factor ?Ndo maana nikaweka hiyo discounting factor mkuu ya 60%... ila kwa muonekano na ukubwa wa eneo hiyo kuna namna inaweza kuwa mali kama akili ikitumika vema
Kwa maana hata kwa bei ya 30,000 bafo itakuwa ni ndogo mno. Uliuliza kuhusu operation expenses na maintenance zitakuwa covered vip. Lakini still, bado hata uki factor in operation expenses na maintenance kuna uwezekano wa kuondoka na 85+ million kila mwaka mwich is a fair return kwangu mimiUmesema Occupancy rate ya 60% mkuu japo kwenye hesabu uliweka 100%. Kwahiyo Occupancy rate ndio ulimaanisha discounting factor ?
Wezi- wa sehemu nyingine wamepinda si ndio ee?
Sawa bwana mkubwa.
Wacha miyeyusho mkuu.Uzuri wa madalali wa mwanza huwa wamenyooka