mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF
Ukifika mwenge unaweza kustaajabu jengo lililokuwa linajengwa kwa kasi ya ajabu mwenge kutelekezwa baada ya kifo cha Hayati MAGUFURI huku wamachinga wakihaha kufukuzwa huku na kule, najiuliza hivi machinga wa kariakoo na karume ndio machinga mihimu tu, kwanini ndio wanaotoa jumuiko la viongozi?
Mji wa Mwenge, yaani kijiji cha mwenge kama kungepangwa vizuri unaweza ukatoka mji mzuri kwani kuna konnection za sehemu nyingi za usafiri wa magari.
Magari karibu ya sehemu zote yanafika pale. Juhudi za wafanyabiashara zimeanza baada ya kuanza kujenga majengo makubwa ya kibiashara lakini Mwenge inaghubikwa kuwa na ramani mbovu ambayo ingeendana na designed mzuri za miji tukiacha ikajengwa hovyo bila miundo mbinu mzuri tutakuwa tunatengeneza miji ya hovyo.