puker JF-Expert Member Joined Nov 22, 2018 Posts 1,001 Reaction score 2,010 Mar 30, 2021 #1 Nyumba inauzwa (Pagale) ipo Kigamboni DSM. Ukubwa wa eneo: SQM 500 Document: Hati safi kabisa ya s/mtaa. Location: Kigamboni Mjimwema. KM 4 kutoka ferry, nyumba ipo karibu kabisa na barabara ya kuelekea Kibada karibu na ilipo Nolasco Nightclub. Bei: Mil 30 (Maongezi kidogo yapo) NB: Zipo bati 80, mpya mwenye eneo alikuwa anaendelea na ujenzi ila amepata uhamisho ghafla hivyo anahamisha makazi. Mawasiliano: 0758676743
Nyumba inauzwa (Pagale) ipo Kigamboni DSM. Ukubwa wa eneo: SQM 500 Document: Hati safi kabisa ya s/mtaa. Location: Kigamboni Mjimwema. KM 4 kutoka ferry, nyumba ipo karibu kabisa na barabara ya kuelekea Kibada karibu na ilipo Nolasco Nightclub. Bei: Mil 30 (Maongezi kidogo yapo) NB: Zipo bati 80, mpya mwenye eneo alikuwa anaendelea na ujenzi ila amepata uhamisho ghafla hivyo anahamisha makazi. Mawasiliano: 0758676743
denis fourplux JF-Expert Member Joined Aug 17, 2017 Posts 1,049 Reaction score 1,385 Mar 30, 2021 #2 Sawa