Jengo la biashara linalouza magodoro lililopo eneo la Mtaa wa Nyamwezi na Kipata katika Soko la Kimataifa la Kariakoo Jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto Jioni hii. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.
Hapo bila shaka ni ‘Insurance Fraud’. Hiyo ni nyumba ya chini ambayo tayari ilishataka kuvunjwa wajenge ghorofa, sasa wameona wapate kianzio cha kujenga msingi toka Bima.