Kama kichwa cha tangazo kinavyojieleza kuna jengo moja ambalo lipo katikati ya mji linauzwa pamoja na kiwanja kimoja kipo maeneo ya shangani..Jengo lipo mahala pazuri sana kibiashara. Yeyote mwenye nia au alie karibu na na mwenye nia asisite kuwasiliana nami. Nktumie private msg kwa mawasiliano na maelezo zaidi.
Asanteni.
Kama umenielewa nimesema PM kwa maelezo zaidi..lakini pia nimeeleza kwa kifupi kuwa jengo lipo mtwara mjini na kwa upande wa kiwanja kipo maeneo ya shangani! Bei ni tsh 1.8 b kwa jengo na kiwanja ni tsh 850 million.Hilo jengo lipo sehemu gani na bei gani,pia Maelezo hayajitoshekezi
Kama umenielewa nimesema PM kwa maelezo zaidi..lakini pia nimeeleza kwa kifupi kuwa jengo lipo mtwara mjini na kwa upande wa kiwanja kipo maeneo ya shangani! Bei ni tsh 1.8 b kwa jengo na kiwanja ni tsh 850 million.
Duh! kama kkoo vile, daadeki!
kama umenielewa nimesema pm kwa maelezo zaidi..lakini pia nimeeleza kwa kifupi kuwa jengo lipo mtwara mjini na kwa upande wa kiwanja kipo maeneo ya shangani! Bei ni tsh 1.8 b kwa jengo na kiwanja ni tsh 850 million.