Jengo zima lamezwa na shimo....What the hell????


Unajua hizi 'sinkholes' zinatokea kama natural depression na hususan mvua inaponyesha katika maeneo yaliyo na carbonate rocks.Zile rocks zikisha -dissolve basi zina-give way na kutumbukia chini na whatever is on top sinks down with it. Tofauti inakua ni urefu na ukubwa wa shimo.

Ukipata m'da nenda uka-google 'Karst Process' na utapata kuelewa zaidi the chemical part of the whole thing
 
Duh! wanajiolojia, hebu tupatieni mekanizim inayopelekea hii kitu!!....tafadhali
 

Hapo Dar es salaam kuna sehemu inaitwa Mzimuni eneo hilo liko kata ya Kawe wilaya ya Kinondoni; nilisimuliwa na mzee mmoja kuwa asili ya jina la sehemu hiyo ni tukio la kijiji kizima hapo zamani kuzama na kupotea kabisa!! Sehemu za baharini au kando kando ya maziwa ni sehemu ambazo ni rahisi kupatwa na majanga kama haya.
 
Inatisha maana hata mwisho wa hilo shimo hauonekani nahisi mwili kunitetema. Kweli mtakapo yaona hayo yote kuanza kutokea mjue ule mwisho umekaribia, njaa kila mahali, taifa kupigana na taifa, tetemeko la ardhi na kuua wengi, magonjwa yasiyotibika n.k.
 
Hilo jengo lilikuwa na kazi gani? Ilikuwa guest house nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…