Jeni Inayohusisha Maziwa ya Mama na IQ

Jeni Inayohusisha Maziwa ya Mama na IQ

KingPin

Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
11
Reaction score
3
Kwa mujibu wa wachunguzi wa mjini London kuna jen moja (single gene) inayoathiri uwezo wa kiakili (IQ) katika watoto walionyonya maziwa ya mama.

Watoto wenye jeni aina mojawapo ya FADS2 wanapata namba kubwa zaidi ya IQ katika vipimo vya IQ, iwapo walinyonya maziwa ya mama zao...http://www.mashosti.blogspot.com
 
Back
Top Bottom