Jenifer Lopez na Marc Antony watarakiana tena trh 17th July 2011..

Jenifer Lopez na Marc Antony watarakiana tena trh 17th July 2011..

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
806
wakuu kama ni bahati mbaya bt jlo ndio zake, wametengana tena na mumewe, baba ya wanae mapacha kwa mara nyingine tena. Wakati mwingine nahisi kama vile anataka scandal ya kuuzia ulbum yake mpya hivi teh! MMU tujifunze toka kwa hawa, mapenzi hayatabiriki kabisa. Check linki hapo chini: www.ibtimes.com
 
Wapo kibiashara sie tunaona kama wametarakia kumbe wao wanauza album yao!!
 
Back
Top Bottom