Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Nimekuwa nafatilia sana filamu za Kanumba, Jinsi binti (Hanipha Daud) almaarufu Jenipha Kanumba alivyoonesha uwezo wake ndio jinsi taswira yake inavyoweza kuja kuonekana katika maisha ya kifamilia. Malezi aliyoyaonesha Kanumba yanaweza kumugeuza hapo baadae kuwa Mke Mwema kwa atakayempata.
Deogratius Nalimi Kisandu
24 Desemba 2017.
Deogratius Nalimi Kisandu
24 Desemba 2017.