Jenista Mhagama Aiomba Hospitali ya Queens London Kutoa Ushirikiano Huduma za Afya Tanzania

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameiomba Hospitali ya Queens iliyopo jiji la London nchini Uingereza kutoa ushirikiano kwa Tanzania ili msukumo wa kuimarisha huduma za Afya uzidi kuimarika.
Waziri Mhagama amewasilisha ombi hilo Desemba 11, 2024 wakati akihutubia mkutano wa uongozi wa hospitali hiyo wenye lengo la kusaidia kwenye nyanja mbalimbali na kuimarisha huduma za afya nchini ikiwemo upatikanaji wa vifaa tiba, dawa pamoja na kubadilisha uzoefu wa wataalam wa afya.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…