ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Kwahiyo? Issue ni kuzikwa au wwpi.ameziowa?Jenista mhagama amezikwa leo Disemba 16,2025 katika makaburi ya Parokia ya Ruanda ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Emmanuel Nchimbi ameongoza mazishi hayo.
kaskazini nako kuzuri kuna christians wengi na hakuna uislam kindakindaki kulehabari njema hii, kuzikiwa kwenye makaburi ya Parokia, nachopendea nyanda za juu kusini ni Christian land, huko ndiyo nitahamia siku muslims wakikinukisha, na najua kitanuka tu ni swala muda.
nilikuwepo maeneo ya muslims walivyokinukisha mwembachai, not good.
southern highlands hakuna muslims and lets keep it Christian forever …
Labda kwa Siri ya mtungi bibie mwasauHakuna aliyemwachia taarifa za mahospitali kati ya tarehe 29 October 2025 hadi 10 November 2025?
muslims wakikinukisha kagame na museven wanaingiza vikosi vyao kuteka maeneo jirani na nchi zao, ongeza na malawi plus kenya. Hili taifa halitaki ushenzi wa kidini kama ule wa nigeria kaskazinihabari njema hii, kuzikiwa kwenye makaburi ya Parokia, nachopendea nyanda za juu kusini ni Christian land, huko ndiyo nitahamia siku muslims wakikinukisha, na najua kitanuka tu ni swala muda.
nilikuwepo maeneo ya muslims walivyokinukisha mwembachai, not good.
southern highlands hakuna muslims and lets keep it Christian forever …