connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
Kabla kumnadi Janabi apimwe afya yake kwanzaWaziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Nenda G20, AU, EAC na tumia network yako mliosoma nao Harvard University
Waziri mwenye dhamana kwanzaWe ndio una connections mkuu ungemnadi wewe kwanza!
Kwanza kaishia diploma town anaishi kijanja janja snHuyu ajitokeze mbele ya mataifa? Kitakuwa kituko Cha millennium
Unamponda bibi yako wa Songea πΉHuyo umuambie kugala gala chini ndo ataweza, ila kule hawezi tia pua yake.
Ataonekana kituko tyuuh. πππππ
Njoo sinza leo unipe jaman mchoyo sana wwHuyo umuambie kugala gala chini ndo ataweza, ila kule hawezi tia pua yake.
Ataonekana kituko tyuuh. πππππ
Nije SAA ngapi? Seriously.Njoo sinza leo unipe jaman mchoyo sana ww
Saa 9 kumekucha beba mqfutaNije SAA ngapi? Seriously.
Yule hawezi kua bibi kwangu, ni mdogo sana kwa mama angu.Unamponda bibi yako wa Songea πΉ
Ila English yake ya kuunga na super glue kule atapoteana..!!
Korie au ya alizeti? LolSaa 9 kumekucha beba mqfuta