Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

Hamna lolote mnataka mama wa watu aseme Mr Chair πŸͺ‘ mumcheke πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Em kipe heshima Kingoni tafadhari.
πŸ˜‚πŸ˜‚haha

Mbna yule ni mtu wa songea, kugala gala ki kwetu ni kufurahia jambo, au kushukuru kwa Wema uliotendwa.

Hakukosea, sema watu hawajazoea.

πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Mwambie Victor achangamke akuchukue wewe, watu wacheze lizombe, wale mchele na ugimbi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
StaY tuned, lizombe na madogoli vitachezwa.
Wali, Komoni, myakaya na ulanzi vitaliwa haswaa.
 
1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO.

2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC na tumia network yako mliosoma nao Harvard University.

3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere waandaliwe fungu la kusafiri na kamati yako.
She will say on behalf of herself.
 
Mara nyingi wanaoshinda ile nafasi huwa ni madaktri wenye uzoefu kwenye coordination ya magonjwa/majanga ya milipuko (public health emergencies) mfano Cholera, MVD, Mpox etc

Sasa huyu wa kwenu sijui kabobea kwenye kipi? Unless wapiga kura watupe kura za huruma kwa kuwa Dr. Ndungulile alifariki kabla hata ya kushika nafasi, otherwise, hatutoboi
 
Kwa kiasi chake namfahamu, juzi juzi binti yake wa mwisho, aitwae Victoria kaolewa.

Siku ya send off nilikuwepo pale kwake Makambi, na hadi ukumbini pale Songea Girls.

Afu kaanza kampeni mapema, hataki kuachia madaraka kwa wengine.
Kumbe ni bingwa wa teknolojia ya kienyeji πŸ˜„
Basi huyu mama ni ngoma ngumu

Ova
 
Profesa ni mtaalamu wa magonjwa ya Moyo na Chakula
 
Hawana uwezo,wote wanasumbuliwa na Poor linguistic skills, linguistic barriers πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Angalia watanzania wanavyo chukia wenzao hapa. Wana hiari mwingine apate lakini si ndugu yao japo sifa za prof Janabi zinajulikana sana ndani na nje ya nchi.
Umoja undungu upendo ni kinga yetu
 
Reactions: Cyb
Jenista kasoma HAVARD?

Dadeek ila watu mna siri hii Nchi!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ana mganga konki
Hata ongea yake inaonekana ni bogus
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
StaY tuned, lizombe na madogoli vitachezwa.
Wali, Komoni, myakaya na ulanzi vitaliwa haswaa.
Ila wewe unaonekana mtu mmoja poa sana ila ukivurugwaa vumbi litatimkaa 🀣🀣

Sankyu (Jenii)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…