Ulozi ndo unao muweka mjengoni hadi leo, ubabe wa kuonea wapinzani wake, alikoma kwa Joseph, Ali mnyoosha haswa hadi kufikia kugawa jimbo.Ana mganga konki
Hata ongea yake inaonekana ni bogus
Huu utani kabisa yaan ORIGINAL COMEDY.1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini).
2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na tumia network yako mliosoma nao Harvard University.
3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere waandaliwe fungu la kusafiri na kamati yako.
Kama uchawi unafanya kazi "" TUMKABIDHI WIZARA YA FEDHA"""Ulozi ndo unao muweka mjengoni hadi leo, ubabe wa kuonea wapinzani wake, alikoma kwa Joseph, Ali mnyoosha haswa hadi kufikia kugawa jimbo.
Ila hapo Pa Bogus nimecheka mnoo, ππππ
Umenikumbusha mbali ujue, akati ndo naingia campus hapo ni mgeni na ushamba wangu wa mdwema,Ila wewe unaoenekana mtu mmoja poa sana ila ukivurugwaa vumbi litatimkaa π€£π€£
Sankyu (Jenii)
Hiyo wizara ina wenyewe, na Wenyewe wapo.Kama uchawi unafanya kazi "" TUMKABIDHI WIZARA YA FEDHA"""
Ukiwa KIONGOZI mkubwa na umombo haupandi tabu kweli kweli..Hiyo wizara ina wenyewe, na Wenyewe wapo.
Hata yeye anajua hilo. ππππ
Huyo hawezi kutolewa kwenye cabinet, labda asiwepo mjengoni, atakua ana badilishwa kila siku.Kumbe ni bingwa wa teknolojia ya kienyeji π
Basi huyu mama ni ngoma ngumu
Ova
Na Mimi ngoja nitafute MGANGA π€£π€£π€£Huyo hawezi kutolewa kwenye cabinet, labda asiwepo mjengoni, atakua ana badilishwa kila siku.
Mganga wake sio tapeli, kanyooka haswaa.
Humuonagi bungeni akiwa anachangia hoja, aibu tunaona sisi wasikilizaji, anapitwa hadi na mbunge viti maalumu, Msongozi.Ukiwa KIONGOZI mkubwa na umombo haupandi tabu kweli kweli..
Unageuka bubu..au kuomba udhuru wa kuumwaπ€£π€£
Muone DA jeni akupeleke chimboni haswaaNa Mimi ngoja nitafute MGANGA π€£π€£π€£
Hatare Sanaa smart upstair people wapo benchi..Humuonagi bungeni akiwa anachangia hoja, aibu tunaona sisi wasikilizaji, anapitwa hadi na mbunge viti maalumu, Msongozi.
πππππ
Hao hawatakiwi mjengoni, kule wanatakiwa zamwamwa ili Meza zigongwe vizuri.Hatare Sanaa smart upstair people wapo benchi..
Kazi kweli kweli..
Binafsi naogopaga Sana mambo ya kichawi na uganga...Muone DA jeni akupeleke chimboni haswaa
πππππ
Mwisho mzuri upoo, ni wee tyuh na mipango yako.Binafsi naogopaga Sana mambo ya kichawi na uganga...
Naaminigi hayanaga mwisho mzuri
Mifano ipo mingi kwenye mapenzi ukimroga / limbwata/ shuntama sijui Nini Nini...Mwisho mzuri upoo, ni wee tyuh na mipango yako.
πππππ
Aaah wapii hakuna kitu km hicho.Mifano ipo mingi kwenye mapenzi ukimroga / limbwata/ shuntama sijui Nini Nini...
Dawa zikiishiwa nguvu / dawa ziki poteza nguvu mwisho wa siku mambo huaribika na kuishia kubaya sanaa
Unatembea na hirizi masharti mengi Sanaa.Aaah wapii hakuna kitu km hicho.
Ni mipango tyuuh, πππππ
ππππUnatembea na hirizi masharti mengi Sanaa.
Na ukijisahau masharti imekula Kwako π
Kuna jamaa yeye haruhusiwi kunawa mikono kwa maji ya moto siku hiyo katembea kwetu kwenye kunawishwa maji ya uvuguvugu aliruka huyoo akasema kwake ni mwiko πππ
Yeah anaonekana kabisaUlozi ndo unao muweka mjengoni hadi leo, ubabe wa kuonea wapinzani wake, alikoma kwa Joseph, Ali mnyoosha haswa hadi kufikia kugawa jimbo.
Ila hapo Pa Bogus nimecheka mnoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NaziKorie au ya alizeti? Lol