Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 2,330
- 4,048
Safi kabisaIla ni Waziri mzuri n presentable, natamani siku moja nionane nae anieleze SIRI ya kuwa mbunge wa jimbo kwa muda mrefu hivi tena kwenye jamii yetu hii iliyotawaliwa na MFUMO DUME..Go Go Jenister
Mnamuonea bure mama wa watu.1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini).
2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na tumia network yako mliosoma nao Harvard University.
3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere waandaliwe fungu la kusafiri na kamati yako.