Jenista Mhagama, kumbuka ahadi yako ndani ya Bunge la Bajeti la 2022/2023

Blender

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
4,870
Reaction score
8,035
Jenista Mhagama, kumbuka ahadi Yako ndani ya Bunge la bajeti la 2022-2023.

Kwamba serikali ya awamu ya sita, imeandaa fedha kwa ajili ya kuwafanyia interview waombaji Ajira kupitia, utumishi site or Ajira Portal.

Fedha hizo zitatumika, kuwafanyia interview waomba Ajira, katika mikoa yao waliotoka, ili kupunguza usumbufu wa watu kukusanyika katika jiji la Dodoma.

Nilikuwa na kukumbusha ndugu Waziri ahadi Yako.

Maana bado watu tunakusanyika Dodoma, na gharama za Maisha saaivi zimepanda mno.

Nawasilisha 🙏
 
Wanasiasa ahadi kibao utekelezaji F
 
Ajira Portal mkuu ni janga la kitaifa. Uliza PURA watakuambia yaliyowakuta.
Mitihani inaibiwa, mitihani inasahihishwa kwa nusu saa na kutoa matokeo, iunde bodi kama ya baraza la mitihani kutunga na kusahihisha mitihani
 
maisha yamekua makali na machungu zaidi.kwasisi job seeker
 
Ajira Portal mkuu ni janga la kitaifa. Uliza PURA watakuambia yaliyowakuta.
Mitihani inaibiwa, mitihani inasahihishwa kwa nusu saa na kutoa matokeo, iunde bodi kama ya baraza la mitihani kutunga na kusahihisha mitihani
Noma Mzee 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…