Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,236
- 3,544
Poleni Ndugu ,jamaa na marafiki.Mbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe.
jennista alikuwa anatumia mandumba sana ,ndugu zake wengi wametolewa kafara.Basi wameanza kuana wao kwa wao
Awamu hii kwani akirudi kwenye Baraza?Wameanza kuondoka Mmoja baada ya Mwingine.
Huyo alikuwa Waziri wa afya.
Labda kaondolewa ili asije akatoa ushahidi
Nimewaza tu
Apumzike kwa amani
RIP Jennista, mama mdogo wa Jokate na shemeji wa Dr Damas NdumbaroWameanza kuondoka Mmoja baada ya Mwingine.
Huyo alikuwa Waziri wa afya.
Labda kaondolewa ili asije akatoa ushahidi
Nimewaza tu
Apumzike kwa amani