MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Yaani,na na shule ya seco,Mlongo afwili, ena wenga ahamba tu, mbona alili, ge mahela na majumba avalekali vana vaki.
Nikikutana Tena na hii inabidi tu niku ignore ujumbe unachoshaMwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Na anaenda zikwa makaa ya mawe Ruanda,ndio maana Ruanda kuzurii kumbe home kwake.VP mbona nae ana mali za kutoshaa, yaan Songea imekamatwa na Jeni, Imma, labda na Feo kwenye usafiri, ila miradi mingine ni hao wawili, afu wanawapa umiliki wengine.
Kuna hotel ya kifahari iko sehemu, tulisikiaga eti ya mchaga gani sijui, kuja kusikia ni ya huyo jeni, Lol.
Yap makambi, twende na mangatungu na chikande mlongo wanguNi makambi, twende tukalee uyoga ulelema na bundulaaa.
😂😂😂😂😂
Tihambai mlongo, tukamsindikizahi mwuyitu.Yap makambi, twende na mangatungu na chikande mlongo wangu
Hapana jenister anaenda kuzikwa Peramiho Parangu. Ndo kwao.Na anaenda zikwa makaa ya mawe Ruanda,ndio maana Ruanda kuzurii kumbe home kwake.
Kwa kweliiiYaani,na na shule ya seco,
Sasa wengine wagombanie jimbo.wajenge nao shule zao,wanakufa na ahadi walizotoa hawajatekeleza🙌
Ratiba imetoka,wanamleta mbinga Ruanda ndipo atazikwa.,msiba una vituo kama IMLA, peramiho watalala kuzika mbinga.Hapana jenister anaenda kuzikwa Peramiho Parangu. Ndo kwao.
Kwa nini unamuita Samia ‘mama’?That's true hasa situation ikienda ndivyo sivyo.Ikute mama alikuwa anawaza kule kugalagala kote na uwaziri kaukosa.😭
Kuna shoga Ake Judith kapinga,huyu kapewa uwaziri🙌Kwa kweliii
Saaana ndugu yangu ilikua ukienda kuchukua nae form ya kugombea nafasi yake huchukui round futi 6 kwenye moyo wa ardhi tunakufukia hana utani huyu mtu anyway........R.I.Pjennista alikuwa anatumia mandumba sana ,ndugu zake wengi wametolewa kafara.
Hapana,Samia siwezi kumwita hivyo . Hiyo mama nilimaanisha Jenister. Mama (Jenister) aligalagala sana kipindi cha kampeni na uwaziri akaukosa pamoja na kugalagala.Kwa nini unamuita Samia ‘mama’?
Unampenda sana?
Afadhali!Hapana,Samia siwezi kumwita hivyo . Hiyo mama nilimaanisha Jenister. Mama (Jenister) aligalagala sana kipindi cha kampeni na uwaziri akaukosa pamoja na kugalagala.
UsiniambieIla huyu mama amejua kuwekeza, mweeeh
Who is next?Thibitisha kwani kifo sio jambo la kushangaa.
Who is next Rizi?huyo muondoe kwenye hiyo orodha, ni upande mwingine, pure evil …
Huyu ndiye alikomaa Lissu asilipiwe matibabu eti hakufuata utaratibu. Hiyo ilikuwa ni ktk kusujudu 'jiwe'. May her soul rest where it deserves.Mbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe.
Ikumbukwe Jenister Mhagama alikuwa waziri wa Afya wakati wa matukio ya Oktoba 29, 2025.