litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 731
- 1,378
Rubbish yaan samuya awe Mlevi wa mapombe?? Big noJamaniii kumbe ndo yeye alimgeuka Ummy na kuvujisha voice note.
Leo yeye katangulizwa akhera Sokoni.View attachment 3514645View attachment 3514645
Na hao waliokufa wakiandamana nao wana makosa wameadhibiwa na Mungu.Hakuna kupumzika kwa amani, huyo alichangia mauaji. Alikataza wauguzi wasitibie majeruhi akiwa waziri mwenye dhamana…!!
Karma iwatafune wote na ndugu zetu huyo marehemu hakikisheni hadi huko mnampa kiminyo hakuna kupoa 😹😹😹
Aisee ila viongozi 99%wanatumia ndumbaKiboko yake ilikua Joseph Muhagama, alimnyoosha had wakaamua wagawane jimbo.
Chezea Jose weyeeee, 😂😂😂😂😂
Hawapewi adhabu wao wametangulizwa kabla ya muda wao..!!Na hao waliokufa wakiandamana nao wana makosa wameadhibiwa na Mungu.
Ndiyo wazitunze!Kheeeeh ni ana mali hatariiiii.
Na baridi la peramiho🙌Sitoki hapa hadi wazike ndo narudi home.
Ni mwendo wa kufuata vituo tyuuh.
Tukutane Ruanda.
Hatariiiii yuleee, 😂😂😂😂
Wewe ni mpumbavu sanaHakuna kupumzika kwa amani, huyo alichangia mauaji. Alikataza wauguzi wasitibie majeruhi akiwa waziri mwenye dhamana…!!
Karma iwatafune wote na ndugu zetu huyo marehemu hakikisheni hadi huko mnampa kiminyo hakuna kupoa 😹😹😹
Waganga hawakumaliziwa hela, baada ya kuukosa uwaziriii.Udugu bi mchawi kadanja 😹😹😹
Hivi waganga wake walishindwa kumlinda?
Em kwendraaaa huko.Rubbish yaan samuya awe Mlevi wa mapombe?? Big no
Huyu safari hii kadharau sana wananchi, kuna kijiji aliwatukana wazee, waache chokochoko, yeye ndo mbunge, watake wasitakee.Aisee ila viongozi 99%wanatumia ndumba
Kwahiyo hskuwa tofauti na kinginge?
Haya Mungu kaamua ugomvi
Hivi bi msumi ni mlevi?Jamaniii kumbe ndo yeye alimgeuka Ummy na kuvujisha voice note.
Leo yeye katangulizwa akhera Sokoni.View attachment 3514645View attachment 3514645
Victor na Osmund watatunza mali, wakimuachia joakim kitawalambaa.Ndiyo wazitunze!
Mwenye mali akiondokaga
Nazo huwa zinapukutikaga
😄
Na kama mali ulipata kihalali basi kuna uwezekano mkubwa ikadumu,kama mali ulipata kwa konakona itarudi kwa wenyewe
Any way huyu maza alikuwa chuma hasa 😄
Kila awamu yupo
Ova
Tutapambana naloo, muhimu maakuli tupate.Na baridi la peramiho🙌
Alisema Ummy eti.Hivi bi msumi ni mlevi?
Alikua anapenda kusujudiwa huyu.
Hali ya hewa Leo,, maakuli si songea makambi mnaupiga Hadi kesho kutwa.Tutapambana naloo, muhimu maakuli tupate.
😀Alikua anapenda kusujudiwa huyu.
DahHuyu safari hii kadharau sana wananchi, kuna kijiji aliwatukana wazee, waache chokochoko, yeye ndo mbunge, watake wasitakee.
Kmmk na mmk naye la mmk pumbavu..!!Wewe ni mpumbavu sana
Hakuwa kwenye position ya maamuzi, alikua anasubiri matokeo ya uchaguzi huko kwao
Muwe na akili kidogo
Ndio maana mna kosa legitimacy ya kuchallenge vitu vya maana
Mnaropoka sana