TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

How intellectual wa JF mnafikiri sababu ni kukosa uwaziri? Huyo ni mkongwe wa kazi hawezi kupata pressure hiyo...... kwamba mambo yanayosemwa huku hamyaoni au? ...... mbona kama dot nyepesi kabisa hii? Achieni watu wa FB hizo speculations.
 
Huyu hata sio huko Juu, ni huku chini jimboni, watu walisha mchokaa.
Si akaanza kuwananga wazee eti, jimboni hatoki hadi yeye aamue, na alishasema 2030 anagombea tena.

Wazee wameamua kumaliza mzozo mapemaa. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…