TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

Magufuli mliomba afe leo mnataka mwingine...πŸ˜…πŸ˜…kila mtu na siku zake ...Mwambie Gwajima na TEC waniombee mimi nife
Kifo cha magufuli ndio kifo kiliwagusa watanganyika kuliko kifo cha kiongozi yeyote yule nchi hii na haita kuja kutokea watanganyika waguswe na kifo cha kiongozi kama ilivyo kuwa kwa magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…