Watu wabaya dunia hiiοΌAkizungumza na waandishi wa habari katika Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Septemba 22, 2025 Mgombea ubunge Jimbo la Peramiho kupitia CCM, Jenista Mhagama, amewataka wananchi wa Ruvuma kuendelea kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kile alichokiita kasi ya maendeleo yanayogusa maisha ya kila mmoja
Pia alibainisha kuwa mageuzi makubwa yamefanyika katika sekta ya afya, hususan ujenzi wa miundombinu na upatikanaji wa huduma za matibabu, yameleta matokeo chanya kwa kupunguza vifo vya mama na watoto, kuimarisha afya za wananchi na kuongeza nguvu kazi ya Taifa. Alisisitiza kuwa hatua hizo ni ushahidi wa dhamira ya serikali ya awamu ya sita katika kusogeza huduma karibu na wananchi
Soma pia
- GE2025 - Kwaiyo Waziri Jenista Mhagama na kundi lake walipiga Magoti hadi Rais Samia alipomaliza kuhutubia? kweli Tonge tamu
- GE2025 - Haya ni mapenzi kwa CCM au kujidhalilisha?
Haya ndiyo madhara ya serikali kuendeshwa kihuni, uongo-ongo, bila kufuata katiba na sheria. Kila tukio watu hutafsiri wanavyojua. Inawezekana kabisa ni ugonjwa wa kawaida....Watu wabaya dunia hiiοΌ
wamemnanilii huyu mama wa watu
RIP JJM
P
Uchawa mwingi mbele giza.Akizungumza na waandishi wa habari katika Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Septemba 22, 2025 Mgombea ubunge Jimbo la Peramiho kupitia CCM, Jenista Mhagama, amewataka wananchi wa Ruvuma kuendelea kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kile alichokiita kasi ya maendeleo yanayogusa maisha ya kila mmoja
Pia alibainisha kuwa mageuzi makubwa yamefanyika katika sekta ya afya, hususan ujenzi wa miundombinu na upatikanaji wa huduma za matibabu, yameleta matokeo chanya kwa kupunguza vifo vya mama na watoto, kuimarisha afya za wananchi na kuongeza nguvu kazi ya Taifa. Alisisitiza kuwa hatua hizo ni ushahidi wa dhamira ya serikali ya awamu ya sita katika kusogeza huduma karibu na wananchi
Soma pia
- GE2025 - Kwaiyo Waziri Jenista Mhagama na kundi lake walipiga Magoti hadi Rais Samia alipomaliza kuhutubia? kweli Tonge tamu
- GE2025 - Haya ni mapenzi kwa CCM au kujidhalilisha?
Sasa hivi watatia adabu, tuliwaambiaga mapema CCM ni genge la wahuni wakatugomea miaka nenda rudi - sasa watatuamini. Bado Mwabe si na yeyeni wa huko huko ama nimikosea wadau.Ruvuma nasikia napo wimbi la 2910 lilipita na "kuzoa". Na ilikuwa kimya...!!!
Walisema Alianguka ghafla, hakupata Ajari au kupigwa.Hivi Jenista alipata ajali au alipigwa? Nilimsikia dadake akim quote kwamba alikua na plaster of Paris almaaruf POP.
Mlioko jikoni tunaomba za moto
πππππSasa hivi watatia adabu, tuliwaambiaga mapema CCM ni genge la wahuni wakatugomea miaka nenda rudi - sasa watatuamini. Bado Mwabe si na yeyeni wa huko huko ama nimikosea wadau.
Emanuela yupo lock down ya kishua - kazi iendelee