Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Sasa swali la mleta mada hujalikidhi katika maelezo yako, alikuwa married au divorsed?Marehemu alikuwa na mume aliitwa Eng Muhagama aliwahi kufanya kazi kama sikosei na kampuni ya kijapan ya ukandarasi iliitwa KAJIMA ambayo ilitengenza barabara ya SONGEA ..MBINGA kiwango cha changarawe miaka ya nyuma japo za ndaani mama alishaanza kumtenga baba wakati anataka ubunge viti maalum 2000 na mzee hakutaka aingie kwa siasa
Hakuwa Engineer ila Mhasibu ameajiriwa TANROADS RUVUMA. Wengi wetu tunajua ukifanya kazi TANROADS basi wewe ni Engineer. Barabara ya Songea - Mbinga (kipande Cha Kuanzia njia panda ya kwenda Peramiho), kilijengwa na WESONS T LTD na sio KAJIMA. Karibu kwetu Matarawe.Marehemu alikuwa na mume aliitwa Eng Muhagama aliwahi kufanya kazi kama sikosei na kampuni ya kijapan ya ukandarasi iliitwa KAJIMA ambayo ilitengenza barabara ya SONGEA ..MBINGA kiwango cha changarawe miaka ya nyuma japo za ndaani mama alishaanza kumtenga baba wakati anataka ubunge viti maalum 2000 na mzee hakutaka aingie kwa siasa
Acha uongo huyo samuya unayemtaja yupo na mumewe,na kumbuka huyo mume wa samuya ana wake 2 na unaposema hayko na mumewe,huo uongo unakusaidia nini?Hakuna mwanamke wa kufika hatua za kina jenista halafu aendelee kuwa na mwanamume,
Wanawake ni viumbe waajabu,huoni hata Samuya hawako pamoja na mumewe
Mkuu Mumewe sababu ya protocols tu,sawa na magufuli alivyokuwa na mama janeth,it was because of the protocolAcha uongo huyo samuya unayemtaja yupo na mumewe,na kumbuka huyo mume wa samuya ana wake 2 na unaposema hayko na mumewe,huo uongo unakusaidia nini?
Alikuwa mjane. Kisichoeleweka hapo ni kipi? Mume wake Eng. Mhagama alifariki miaka 20+ iliyopita mnachotaka sasa ni nini?Sasa swali la mleta mada hujalikidhi katika maelezo yako, alikuwa married au divorsed?
Sasa swali la mleta mada hujalikidhi katika maelezo yako, alikuwa married au divorsed?
Aaante kwa marekebesho mkuu na wewe karibu karibu mnara wa voda mjimwema hapaHakuwa Engineer ila Mhasibu ameajiriwa TANROADS RUVUMA. Wengi wetu tunajua ukifanya kazi TANROADS basi wewe ni Engineer. Barabara ya Songea - Mbinga (kipande Cha Kuanzia njia panda ya kwenda Peramiho), kilijengwa na WESONS T LTD na sio KAJIMA. Karibu kwetu Matarawe.
Sisi sote ni marehemu watarajiwa, wewe pia utakufa tena huwezi jua kifo chako kinaweza kua cha kidhalili, omba mwisho mwema usipende kusimanga marehemu ya kwako huyajui, kubwa zima hovyooooo!Woooi! Naona umeishiwa! Nenda kaungane naye basi kama unampenda na kumlinda sana mpendwa wako. Senzi we!
Wanasema mumewe alishafariki na ht napozikwa ndo huko alikoolewa na alikozikwa mumewe piaNi kweli. Mnaweza kujikuta mnatawaliwa na failures wakiwa wamejificha hadi wafichuke na kuumbuka.
View attachment 3515665
Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka kuonyesha aina ya viongozi tunaoletewa bila kuruhusu kujulikana historia sahihi za maisha wala ukweli kuhusiana na maisha. yao. Si tunaambiwa viongozi ni kioo cha jamii. Je, huyu bi mkubwa alikuwa ameolewa, ameachika au nunga embe?
Kwa lilivyoelezwa kwenye wasifu wake, hapana, ni la wazazi wake. Maana, halikutajwa la baba yake.
Itakusaidia nini mkuu? Hata kama hakuwa na mume bado Mungu alimpa Neema ya watoto watano wenye afya tele, kwani kuna wangapi walikuwa na waume au wake na leo ni WAgane au wajaneView attachment 3515665
Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka kuonyesha aina ya viongozi tunaoletewa bila kuruhusu kujulikana historia sahihi za maisha wala ukweli kuhusiana na maisha. yao. Si tunaambiwa viongozi ni kioo cha jamii. Je, huyu bi mkubwa alikuwa ameolewa, ameachika au nunga embe?
Public figureKwahiyo wewe unataka kumjua Mme wake ?