The Stranger
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 274
- 253
Mi kuna ndugu yake mmoja ni rafiki yangu, muda mrefu tu kabla ya kufariki, alishawahi kuniambia kuwa hakuwahi kuolewa, na kuwa hakuwahi kutaka kuolewa katika maisha yake kwa sababu anenjoy maisha ya kuwa hivyo, kuwa ukiolewa unabanwa banwa sana.Alifiwa na mume wake 25 years or so ago!
kwani mwanaume ni mmoja, si unaolewa na mwingine, why uishi bila mume?Wengine ndoa zilikuwa ngumu,walikuwa cheated,abused and everything dirty, ulitaka wafanyaje, don’t judge!
Nani kakwambia kuwa ili uishi maisha mazuri ni lazima uwe na mume? Yaani mtu utoke kwenye abusive marriage unakimbilia tena kwenye marriage nyingine kirahisi rahisi tu?????!!!!kwani mwanaume ni mmoja, si unaolewa na mwingine, why uishi bila mume?
mumewe si alifariki?View attachment 3515665
Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka kuonyesha aina ya viongozi tunaoletewa bila kuruhusu kujulikana historia sahihi za maisha wala ukweli kuhusiana na maisha. yao. Si tunaambiwa viongozi ni kioo cha jamii. Je, huyu bi mkubwa alikuwa ameolewa, ameachika au hakuwahi kuolewa?
Basi wewe ndo ulikuwa mume wake. Acha chuki za kingeseKwa lilivyoelezwa kwenye wasifu wake, hapana, ni la wazazi wake. Maana, halikutajwa la baba yake.
Jamaa kajibiwa ila bado anabisha kama taahiraJibu ushalipata haya kamalizie kiporo chako cha wali na kabichi ushushie na maji ya baridi ujipepee, huenda chuki yako kwa wanawake itapungua
Mie naona sio shida,coz ata kuzikwa anazikwa alikozikwa mumewe.Kwanini hawakulitaja hili? Maana, nijuavyo, kama mwanandoa akifariki au mtoto, bado huendelea kuwa sehemu ya familia posthumously.
Safi wakunyumbaHakuwa Engineer ila Mhasibu ameajiriwa TANROADS RUVUMA. Wengi wetu tunajua ukifanya kazi TANROADS basi wewe ni Engineer. Barabara ya Songea - Mbinga (kipande Cha Kuanzia njia panda ya kwenda Peramiho), kilijengwa na WESONS T LTD na sio KAJIMA. Karibu kwetu Matarawe.
Na leo si wameona kazikwa pembeni ya marehemu mumeweAlikuwa mjane. Kisichoeleweka hapo ni kipi? Mume wake Eng. Mhagama alifariki miaka 20+ iliyopita mnachotaka sasa ni nini?
Kwani alikua anaongoza watu binafsi?Hayo ni mambo yake binafsi
Hilo jina la Mhagama ndio jina la mume wake alifariki miaka 2000. Vijana wasiku hizi tumekuwa mazezeta kabisa hata kufuatilia issues kabla ya kutoa mapovu hakuna!!Kwanini hawakulitaja hili? Maana, nijuavyo, kama mwanandoa akifariki au mtoto, bado huendelea kuwa sehemu ya familia posthumously.
Wamesema atazikwa pembeni mwa kaburi la mme wakeMi kuna ndugu yake mmoja ni rafiki yangu, muda mrefu tu kabla ya kufariki, alishawahi kuniambia kuwa hakuwahi kuolewa, na kuwa hakuwahi kutaka kuolewa katika maisha yake kwa sababu anenjoy maisha ya kuwa hivyo, kuwa ukiolewa unabanwa banwa sana.
Itakuwa hakutaka kuolewa baada ya mmewe kufariki dunia.Mi kuna ndugu yake mmoja ni rafiki yangu, muda mrefu tu kabla ya kufariki, alishawahi kuniambia kuwa hakuwahi kuolewa, na kuwa hakuwahi kutaka kuolewa katika maisha yake kwa sababu anenjoy maisha ya kuwa hivyo, kuwa ukiolewa unabanwa banwa sana.