Naah! puff Diddy, puff daddy, p dude, p woteva name change he's undergone recently... is currently wrapped up in a relationship with Cassie! And from celeb world gossips, she's pregnant with him. Nilikumbana na stori hii maana napenda nyimbo za Cassie!
It was about getting superior sperms from fellow latino......... Kuzaa na Pdid could be a joke in the streets....period!Something was not right about this marriage from the beginning.
dah so alitaka kicheche mwenzie au? wanawake bana.....
Mhhhh! Bad boy characters eeh! life excitement 24/7 instead of boring life 🙂.... kweli good men always finish last
Kesha anza kutuma tuma mssg.Diddy lazima auchukue tena mzigo huo
Royal Visit?By Mike Fleeman
Saturday July 16, 2011 09:00 AM EDT
Sio hivyo Bak... katika maisha dada yeyote age 27 onwards ambae anajitambua
hawezi taka bad boy... good men the best option... Hivi umeona personality ya jlo..
She is always on spot light na Marc ka vile msindikiza as much as he is famous in his own right....
You get what i mean?
Where is Pdidy!?
Nakupata sana alipokuwa na born town P Diddy walikuwa wanapendeza sana na inaelekea kulikuwa na mapenzi ya kweli na hata wangeweza kuoana lakini mama wa JLO na ndugu wa karibu walikuwa anapiga vita sana uhusiano wao.
Umeona hii picha Bak.... Marc utafikiri ni shabiki alafu kaomba kupiga picha na kimwana....lol
We mwache tu, P didy akichelewa tu, nafanya vitu vyangu, ila usimwambie wifi yako...! Ah ah ah ah.Lazima atamumendea.... XP hivi unajua Jlo ni dada pekee ambae ilichanganya ile dume
ya mbegu mpaka anamchukia kwa sababu he loved her so so.... na huyo ndio saizi yake...
mwisho wa siku unajifunza its better to be a bad boy and not nice guy lol
Hahahahahaha lol! Mbona unamkandya hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio hahahahah lol! kuna rumours jamaa karudiana na mkewe kabla ya JLO naye ni moto wa kuotea mbali....ila natafuta mtandaoni sijaziona hizo habari.
Katika wanaume ambao Jlo katoka nao Pddy as much as ni Sharo baro kakaa kianaume...
Wengine hao... Dah! Check Ben Afleck... amekaa ki mtoto wa mama... Check Mark... mawazo yangu juu yake sio haki hata kusema...
mwisho wa siku unajifunza its better to be a bad boy and not nice guy lol