Jennifer Lopez apata kidume mwingine

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,054
JENNIFER LOPEZ AKA J-LO (ARTIST/ACTRESS)
Jennifer Lopez aka J-Lo ambaye ametemana na baby baba wake,Mark Anthony imefunguliwa kuwa 'anatoka' na Actor Bradley Cooper


BRADLEY COOPER - ACTOR

J-Lo na Mark Anthony waliachana mwezi July na inasemekana alipata kitu cha 'romantic dinner' na Actor Bradley Cooper jijini New York



Source: bloggers
 
Eti nasikia aliyakatia Masaburi yake bima?
 
hawa ma-hollywooder hawanaga wivu?? Ni kama they are one for everyone and everybody, you drop this you catch another one kama daladala vile.
 
..ila Marc Anthony ndio kiboko yake. alitulia kimyaaa mpaka mapacha wakapatikana
 
hawa ma-hollywooder hawanaga wivu?? Ni kama they are one for everyone and everybody, you drop this you catch another one kama daladala vile.
..mapenzi kiti cha basi....
 
..ila Marc Anthony ndio kiboko yake. alitulia kimyaaa mpaka mapacha wakapatikana

unaweza sikia baadae kwamba mark anthony alikuwa anavumilia sana "maumivu".

sijui binti ameshfikisha "vyuo" vingapi huyu
 
mwacheni aishi bana....maisha yenyewe ya kupulizia haya....
 
safi sana....sio unaachana na mtu unaugulia maumivu hata kuoga huogi!!!
 
Life is short, acheni ale bata bora yeye anafanya live lakini demu za kibongo anakuwa na midume hata minne kwa wakati mmoj.
 
akitoka huyo naingia mie...mpira wa kona huo kila mwenye kichwa na atie ataupiga
 
Kwao 'hollywooders' mapenzi ni kutoka na kila mtu?? Au ndo masharti JLo alopewa na freemason,? Wenye akili fupi wamuige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…