Jennifer Lopez Avalishwa Pete ya Dola mil 1 sawa na bilion zaidi ya 2 tshs na Mchumba Wake

Hiyo petei ni ya silver au gold

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo petei ni ya silver au gold

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa hiyo raba yake kama imeviringishwa hirizi
Niliona nikasema hayanihusu. Ila mzee umeshindwa limezea mate πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wamechakata weee yani mpaka basi, kimebaki nini hapo??. Ukichakata nawewe unaambulia mafua maana kanatoa vumbi simchezo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wamechakata weee yani mpaka basi, kimebaki nini hapo??. Ukichakata nawewe unaambulia mafua maana kanatoa vumbi simchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Engagement chali..Jlo atakuwa na shida mahali woii
 
Huyu mwanamke yawezekana ni sikio linalotaka kulingana na kichwa....

Hakunaga mahusiano ya vichwa viwili ndani ya nyumba,J-LO n ishu ingine asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…