Jennifer Lopez kufungua shauri la kudai talaka ya Ndoa yake ya 4

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani, Jennifer Lopez na mumewe Ben Afflect wanatarajiwa kupeana talaka baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka miwili baada ya Jeniifer kuwasilisha shauri la kudai talaka Agosti 20, 2024​
1724235711435.png
Aidha katika hati hizo zilizofikishwa mahakamani zinaeleza kuwa ndoa ya wawili hao haikuwa na mkataba wa kisheria wa mgawanyo wa mali hivyo huenda mali zote ambazo kila mmoja alizichuma kabla ya ndoa
Wawili hao waliwahi kuchumbiana mwaka 2002 na kuachana 2004 na kurudiana tena 2021 na kufunga ndoa 2022. Hii ni ndoa ya nne ya Jennifer kuvunjika kwani aliwahi kufunga ndoa na mastaa kama Ojani Noa (1997), Cris Judd (2001) na Marc Anthony (2004).

=============For English Users============
Hollywood stars Jennifer Lopez and Ben Affleck are divorcing after two years of marriage.

Lopez filed for divorce on Tuesday in the Los Angeles County Superior Court, according to court documents seen by the BBC. The pair - dubbed Bennifer by tabloids - formally tied the knot in Las Vegas in July 2022 and held a larger wedding ceremony in Georgia the following month.
Their romance began after they met while working on the set of the 2003 crime caper Gigli. They had originally planned to marry that year, but called off their relationship early in 2004. A court filing in the case says Lopez or her attorney has to notify Affleck with a copy of her petition to dissolve their marriage.
Media reports indicate Lopez, who had legally changed her last name to Affleck, did not list any details of a prenuptial agreement in her petition for divorce.
A document filed in LA's Superior Court in the case says both Lopez, 55, and Affleck, 52, must share financial information, including their current income, expenses, properties and debts. The document says both are mandated to divulge any changes to their finances "until there is a final agreement about all financial issues in your case".
The court gave Lopez 60 days to file a financial disclosure and Affleck will have another 60 days after she submits her information to do likewise. The filing says if either fails to report or update financial information, it could result in a court-imposed sanction.
There has been months of speculation over their relationship. They reportedly put their Beverly Hills mansion up for sale at $65m (£50m) and were pictured out separately not wearing their wedding rings.
Lopez has been married four times, first to Cuban-born waiter Ojani Noa from 1997-98; then her former back-up dancer Cris Judd from 2001-03; and to singer Marc Anthony, with whom she had twins, from 2004-14.
The singer and actress, known as J.Lo, was also once engaged to New York Yankees star Alex Rodriguez.​

SOURCE; BBC
 
Demu akisha kuwa mzuri au ana hela ni tatizo kubwa kwani wengi wao hupoteza cotrol na heshima mbele ya waume zao. Ila mkute sasa anavyote mzuri na ana hela plus kaenda shule, aisee huyo ndio hatari kabisa.

Unaweza ukakuta na yy anawalamikia wanaume wana kuwa sio waaminifu, wakati ndoa ya nne imemshinda,yaani wanaume wanne wote wawe tatizo........ utazani yy malaika.
 
Usisahau mwanaume anapo taka kuoa, huwa makini sana.
Hao wanao oa watu maarufu,pesa, uzuri wanao na wanajua hapa ndoa hakuna.
wanatafuta maslahi binafsi, ya pesa na umaarufu pia.
 
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani, Jennifer Lopez na mumewe Ben Afflect wanatarajiwa kupeana talaka baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka miwili baada ya Jeniifer kuwasilisha shauri la kudai talaka Agosti 20, 2024​
Aidha katika hati hizo zilizofikishwa mahakamani zinaeleza kuwa ndoa ya wawili hao haikuwa na mkataba wa kisheria wa mgawanyo wa mali hivyo huenda mali zote ambazo kila mmoja alizichuma kabla ya ndoa
Wawili hao waliwahi kuchumbiana mwaka 2002 na kuachana 2004 na kurudiana tena 2021 na kufunga ndoa 2022. Hii ni ndoa ya nne ya Jennifer kuvunjika kwani aliwahi kufunga ndoa na mastaa kama Ojani Noa (1997), Cris Judd (2001) na Marc Anthony (2004).

=============For English Users============
Hollywood stars Jennifer Lopez and Ben Affleck are divorcing after two years of marriage.

Lopez filed for divorce on Tuesday in the Los Angeles County Superior Court, according to court documents seen by the BBC. The pair - dubbed Bennifer by tabloids - formally tied the knot in Las Vegas in July 2022 and held a larger wedding ceremony in Georgia the following month.
Their romance began after they met while working on the set of the 2003 crime caper Gigli. They had originally planned to marry that year, but called off their relationship early in 2004. A court filing in the case says Lopez or her attorney has to notify Affleck with a copy of her petition to dissolve their marriage.
Media reports indicate Lopez, who had legally changed her last name to Affleck, did not list any details of a prenuptial agreement in her petition for divorce.
A document filed in LA's Superior Court in the case says both Lopez, 55, and Affleck, 52, must share financial information, including their current income, expenses, properties and debts. The document says both are mandated to divulge any changes to their finances "until there is a final agreement about all financial issues in your case".
The court gave Lopez 60 days to file a financial disclosure and Affleck will have another 60 days after she submits her information to do likewise. The filing says if either fails to report or update financial information, it could result in a court-imposed sanction.
There has been months of speculation over their relationship. They reportedly put their Beverly Hills mansion up for sale at $65m (£50m) and were pictured out separately not wearing their wedding rings.
Lopez has been married four times, first to Cuban-born waiter Ojani Noa from 1997-98; then her former back-up dancer Cris Judd from 2001-03; and to singer Marc Anthony, with whom she had twins, from 2004-14.
The singer and actress, known as J.Lo, was also once engaged to New York Yankees star Alex Rodriguez.​

SOURCE; BBC
Huyu Bibi atulize "Mashine" aiseee imetembea kilometer nyingi na men zaidi ya 15.
 
Back
Top Bottom