Jennifer Mgendi

Jennifer Mgendi

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
478
Naomba kwa mwana jf yoyote anayejua huyu msanii wa nyimbo za injili Jennifer Mgendi ni mtu wa wapi yaani asili yake ni mtu wa mkoa gani?yeyote anayemjua naomba anifahamishe.
 
Naomba kwa mwana jf yoyote anayejua huyu msanii wa nyimbo za injili Jennifer Mgendi ni mtu wa wapi yaani asili yake ni mtu wa mkoa gani?yeyote anayemjua naomba anifahamishe.

Mnaulizana makabila mnataka kutambika?
 
Naomba kwa mwana jf yoyote anayejua huyu msanii wa nyimbo za injili Jennifer Mgendi ni mtu wa wapi yaani asili yake ni mtu wa mkoa gani?yeyote anayemjua naomba anifahamishe.

Mods, naomba hizi threads zisizo na maana mngekuwa mnazifutilia mbali, znajaza server na kutupotezea muda wa kusoma vitu vya maana
 
eti unamuulizia mtu kabila lake, tena jf...ok, ushajibiwa au unataka na namba yake ya simu? ni pm
 
Ni Mchaga kutoka wilaya ya Hai Bomang'ombe.na wewe ni raia wa nchi gani naamini si Matanzania.
 
...........Nonsense.........mods futa huu uchafu..
 
Unamtakia nini mke wa mtu? Ameolewa na watoto wawili, pengine kuna watatu maana ni muda mrefu sijaonana naye!!
 
Back
Top Bottom