Imetokea nikakumbana na nyimbo hii baada ya miaka kupita ikanikumbusha wakati ule nipo 20 something, nikiwa na kitoto cha KIDENISH she was appeared like an angle ,naimani tupo wengi ambao hutokea nyimbo fulani kutugusa kwa njia moja au nyingine. (human nature)
YouTube - Holding On To You - Sananda Maitreya
kitoto cha KIDENISH she was appeared like an angle
Mkuu naamini ulimaanisha angel
Kwa hakika mkuu - wengine tunayo makovu lukuki.
All that she want - Ace of Base. Hicho kitu unikumbusha nikiwa Arusha na toto ka ki-Mburu!
[QUOTE=, nikiwa na kitoto cha KIDENISH she was appeared like an angel , (human nature). kazi kweli kweli, kitoto gani cha kidan kilicho kama ki angel au ndo beuty lies in the eyes of the beholder.
ya lakini ni kweli unalosema, wakati mwingine kumbukumbu huenda hata katika harufu za perfum
Aha! ni kumbukumbu tu katika harufu za perfum😕 au pia "MIDADI" huwa haipandi pakikosekana mahanikizo ya perfum?