wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Mna bei nzuri lakini hamlitoi gari mn'garo ...jitahidini kuwaangalia ndugu zenu victoria
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ndogo full elfu 20...gari kubwa naona ni kuanzia noah box, prado, cruiser na nk full elfu 30...Hivi pale victoria wana charge ngapi mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Gari ndogo full elfu 20...gari kubwa naona ni kuanzia noah box, prado, cruiser na nk full elfu 30...
Pia unaweza ukaosha chini au nje au ndani na engine kwa efu tano kwa gari ndogo...
Gari kubwa chini elfu kumi na nje elfu kumi.. Engine elfu tano na ndani elfu tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ndogo full elfu 20...gari kubwa naona ni kuanzia noah box, prado, cruiser na nk full elfu 30...
Pia unaweza ukaosha chini au nje au ndani na engine kwa efu tano kwa gari ndogo...
Gari kubwa chini elfu kumi na nje elfu kumi.. Engine elfu tano na ndani elfu tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ujioneeShukrani mkuu,nikiokota pesa ntajaribu kuwatembelea hao jamaa wa Victoria na Jeri nijionee utofauti mkuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuosha engine inategemea na aina ya gari mkuu pia utaalam wa kuioshaThough mkuu sijawahi kuona faida ya kuosha gari kwny engine kule.
Nilishaosha nikiwa na discovery 3 kilichonipata sitarudia kuosha engine tena.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuosha engine inategemea na aina ya gari mkuu pia utaalam wa kuiosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Engine kuwa safi inafanya gari ionekane bado bora zaidi na kuonekana bado mpya... Na inasaidia kwa mafundi wakati wa service mf kama kuna leakage inaonekana kiurahisiKwani usipoiosha engine kuna hasara gani kitaalamu?
Maana sijawahi kuona gari imezingua engine sababu ya kutokuoshwa mkuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums