Modekai Myahudi
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 337
- 567
Samahani kwa kuchelewa kukujibu boss lakini hakijaharibika kitu hilo dirisha ulilo liulizia linaitwa double glasses na kwa kutumia aluminum bei yake ni laki 6 na nusu ilabinapungua kutokana na una madirisha mangapi pia ni zuri kutokana na lina sifa ya sound proof pia kwa pvc bei yake ni laki 8 na nusu kwa dirisha moja mkuu karibu saanaDirisha la 150*150 kama picha ya pili kutoka juu bei gani? Kwa Aluminium na PVC?
Nipe namba yako nikupigie kam una maswali zaidi bossDirisha la 150*150 kama picha ya pili kutoka juu bei gani? Kwa Aluminium na PVC?
Barcons bei gani kwa meter mkuu?Habari ya muda huu wana jukwaa. Naitwa jimmy natokea kampuni ya JERIMY ALUMINIUM inayohusika na uuzaji wa chuma za aluminium aina zote na pia tunatengeneza aina zote za madirisha na milango ya aluminium, milango na madirisha ya PVC aina yote, stainless steel balcony pia tunafanya partition katika ofisi mbali mbali. Tunakufata popote site ilipo.. ofisi zetu zipo bunju A njia panda ya kwenda mabwepande
Waweza wasiliana nasi kupitia namba za simu 0714651164/0785496949/0742178811/0716040949
Pia email: jimmyscami@gmail.com au erickmelkiory17@gmail.com
Karibu saana tukuhudumie View attachment 1153379View attachment 1153381View attachment 1153382View attachment 1153383View attachment 1153384View attachment 1153385View attachment 1153386
Nitauliza hapa hapa kwa faida ya wengi.Nipe namba yako nikupigie kam una maswali zaidi boss
Sihitaji double glazing. Nahitaji la kawaida ila design hio. Aluminium bei gani na PVC bei gani?Samahani kwa kuchelewa kukujibu boss lakini hakijaharibika kitu hilo dirisha ulilo liulizia linaitwa double glasses na kwa kutumia aluminum bei yake ni laki 6 na nusu ilabinapungua kutokana na una madirisha mangapi pia ni zuri kutokana na lina sifa ya sound proof pia kwa pvc bei yake ni laki 8 na nusu kwa dirisha moja mkuu karibu saana
Sawa hamna tatizo mkuuNitauliza hapa hapa kwa faida ya wengi.
Sihitaji double glazing. Nahitaji la kawaida ila design hio. Aluminium bei gani na PVC bei gani?
Balcony zipo aina tofauti tofauti boss kuna ya lai 2 na 40 pia kuna ya laki 2 na 70 hii kwa tuning meterBarcons bei gani kwa meter mkuu?
Tofauti ni ipo yenye kioo na ambayo haina boss yenye kioo ndo laki 2 na sabini isiyo na kioo ni laki na arobainiBarcons bei gani kwa meter mkuu?
Haliwezi kuwa la kawaida kama design hii hapo chiniKwa lakawaida lakini draft ipo aina hii boss ambayo bei yake ni laki tatu na nusu View attachment 1153539
Hapan bosi huo urembo upo kati ya vioo viwili ivo kwa dirisha la kawaida zipo urembo wa draft amabyo ni kama zile nimekutumia na zingineHaliwezi kuwa la kawaida kama design hii hapo chini
View attachment 1153550
Okay nimejifunza kitu. Kwani double glazing vioo vinagandishwa pamoja? Si vinaacha nafasi katikati inayo absorb kelele na baridi?Hapan bosi huo urembo upo kati ya vioo viwili ivo kwa dirisha la kawaida zipo urembo wa draft amabyo ni kama zile nimekutumia na zingine
Karibu saana mkuuOkay nimejifunza kitu. Kwani double glazing vioo vinagandishwa pamoja? Si vinaacha nafasi katikati inayo absorb kelele na baridi?