mchezaji Boateng amekuwa footballer wa kwanza kusign ktk lebo ya roc nation sports. Wanamichezo wengne walio ktk label hiyo ni staa Kelvin Durant, Victor Cruz na Skyler Diggins. Ishu hiyo ilifanyika ktk klabu ya 40/40 ya kwake msanii jay z. Boateng anaamini kuwa kupitia dili hil ataweza kuliteka soko la marekani. click here