GE2025 Jerry Muro amekuchukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Ikiwa imebaki siku moja kuhitimisha zoezi la uchukuaji fomu za Udiwani, Uwakilishi na ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makada mbalimbali wameendelea kujitokeza na kuchukua fomu za kuomba ridhaa ndani ya CCM, mchakato uliotawaliwa na sura ngeni na wale makada maarufu kwenye siasa za Tanzania.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Mkoani Kilimanjaro Leo Jumanne Julai Mosi, 2025 aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya Jerry C. Muro naye amejitokeza kuchukua fomu ya kutaka ridhaa ya kugombea katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro linaloongozwa kwasasa na Saashisha Mafuwe, Jimbo hilo likipata umaarufu zaidi wakati huo likiongozwa na Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe

 
Ikiwa imebaki siku moja kuhitimisha zoezi la uchukuaji fomu za Udiwani, Uwakilishi na ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makada mbalimbali wameendelea kujitokeza na kuchukua fomu za kuomba ridhaa ndani ya CCM, mchakato uliotawaliwa na sura ngeni na wale makada maarufu kwenye siasa za Tanzania.

Mkoani Kilimanjaro Leo Jumanne Julai Mosi, 2025 aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya Jerry C. Muro naye amejitokeza kuchukua fomu ya kutaka ridhaa ya kugombea katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro linaloongozwa kwasasa na Saashisha Mafuwe, Jimbo hilo likipata umaarufu zaidi wakati huo likiongozwa na Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.
 
Kapata wapi laki 5 huyu, au hawa ndio waliosaidiwa hela na Musukuma ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…